ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, July 9, 2015

PICHA NYINGINE ZAIDI TOKA DODOMA.

Shamrashamra za burudani kabla ya uzinduzi rasmi Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo mjini Dodoma. PICHA ZOTE NA ZEPHANIA MANDIA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.  Jakaya Kikwete, na Balozi wa China nchini Tanzania, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria kuzindua rasmi Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo mjini Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo.
Jiwe la msingi.
Waheshimiwa.





PICHA ZOTE NA MWANDISHI WA BLOG HII ZEPHANIA MANDIA: AKIWA MJINI DODOMA

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.