ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 10, 2015

SHEREHE YA SEND OFF YA TUMPALE JOHN MWAISANGO ILIVYOFANA.

Tumpale John Mwaisango(kulia) Bi. Harusi mtarajiwa akiwa pamoja na Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Daniel Shipela (kushoto) katika nyuso za Furaha wakati wa sherehe za kumuaga .
Hivi ndivyo ukumbi ulivyo ulivyokuwa.
Bibi Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akiwa anaingia ukumbini.
Bi Harusi mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akimpa zawadi Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Shipela wa kwanza kulia ni mpambe wa Bwana harusi mtarajiwa Venance Matinya.
Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto) Akikata keki kulia ni Mpambe wake Monica.
Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto) Akimlisha keki Mpambe wake Monica.
Baba Mdogo wa Tumpale John Mwaisango akitoa neno kwa Binti yake na neno la Shukurani.
Daniel Shipela (Kushoto) Baba Mzazi wa Bwana Harusi Mtarajiwa Jeofrey Shipela na Mama Mkubwa wake Elizabeth Njeje (kulia) wakitambulishwa.
Mbele kwa Mbwembwe za aina yake na kwa umahili Mkubwa Bwana Charles Mwaipopo akifungua Shampeni , wakati wa Sherehe hiyo.
Bibi Harusi Mtarajiwa akimrisha Chakula bwana Harusi Mtarajiwa .
Kutoka kulia ni Fredy Anthony Njeje, Grace Mwasote na Njuguna Karanja Marafiki wakubwa wa Joseph Mwaisango wakiwa katika Sherehe.
Baba Mchungaji ambaye ni Baba yake Mdogo wa Tumpale akimpa Mkono wa Pongezi.
Mbele ni Baadhi ya kaka zake na Bibi Harusi Mtarajiwa wamewakajeee...
Joseph Mwaisango kaka Mkubwa wa Tumpale John Mwaisango akimkabidhi zawadi mdogo wake Bibi Harusi Mtarajiwa , Fedha ambazo zitamsaidia ambapo anaenda kuanza Maisha na kumuaga rasmi.
Baadhi ya watu walikuwepo katika Sherehe hiyo.
Huyo anaondoka baada ya kumaliza Sherehe
Bibi Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango kuelekea katika Sendoff yake aliona bora asherekee pia na watoto yatima na waliokuwa wanaishi katika mazingira magumu cha Nuru hapa akiwapa zawadi
Baadhi ya Vitu ambavyo alipeleka katika kituo hicho
Huko Nyumbani pia kulikuwa na Sherehe ya kumuaga Binti Tumpale Mwaisango, Hapa Baba Mdogo akitoa Neno la Shukurani
Sherehe ikiendelea Nyumbani.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.