Mchango wetu ndiyo huu.... |
Warembo wa Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakiangalia wenzao wanaochuana katika mchezo wa kuvuta kamba,kukimbia na kucheza muziki,ambapo warembo hao waliwashinda wafanyakazi wa Dream for Life. |
Warembo wanaowania taji la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakishindana kuvuta kamba na Wafanyakazi wa kampuni ya Dream for life. |
Shughuli hii ya utoaji msaada kwa wanakiji iliambatana na burudani pamoja kucheza muziki,shughuli hii ilifanyika nje kidgo ya mji wa Moshi. |
Burudani shindano la kukimbia na aple. |
Wanahabari wakifanya mahojiano na Baadhi ya warembo wa Shindano hilo baada ya kumalizika kwa shughuli hiyo,fainali za shindano hilo zitafanyika ijumaa hii katika ukumbi wa Kili home Moshi mjini. |
Baadhi ya warembo katika picha ya pamoja na watoto. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.