| Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, kamishina Suleimani Kova akionyesha baadhi ya bunduki zilizoporwa katika kituo cha polisi cha sitaki shari leo. |
| Baadhi ya Bunduki zilizo porwa katika kituo cha Polisi cha Staki Shari Dar es Salaam zikionyeshwa kwa waandishi wa habari Dar es Salaa |
| Sehemu ya Waandishi wa habari |
| Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, kamishina Suleimani Kova akizungumza na waandishi wa habari. |
| Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, kamishina Suleimani Kova akionyesha, fedha Tsh. Milioni 170, zilizokuwa zimechimbiwa shimo na majambazi hao zikiwemo na bunduki |
| Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, kamishina Suleimani Kova akionyesha majina ya majambazi hao |
| Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, kamishina Suleimani Kova akionyesha baadhi ya pikipiki zilizo kuwa zikitumiwa na majambazi hao |
| Baadhi ya askari na waandishi wakimsikiliza Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, kamishina Suleimani Kova alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment