Mhifadhi Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Eva Mallya akimpatia kinywaji ,Muigizaji Jacky mara baada ya kufika katika lango la Marangu ,akishuka kutoka Mlima Kilimanjaro.. |
Washiriki wa timu hiyo iliyopanda mlima Kilimanjaro kwa uratibu wa Mfuko wa Mandela wakifika katika lango la Marangu mara baada ya kushuka kutoka mlima Kilimanjaro. |
Miongoni mwa wapandaji hao alikuwemo Ofisa Uhusiano wa nje wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom,Maya Makanjee. |
Makanjee akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wenzake wa zoezi hilo mara baada ya kushuka kutoka mlima Kilimanjaro. |
Washiriki wa zoezi hilo wakifurahia Keki iliyopambwa kwa rangi za Bendera ya taifa la Afrika Kusini,na Baba wa taifa hilo,Mzee Nelson Mandela akisalimia. |
Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro ,Erastus Runguro akizungumza jambo na muigizaji ,Jacky Devnarain (Rajesh Kumar). |
Muigizaji Jacky akisindikizwa na Mhifadhi ,Charles Ngendo kupata sehemu ya kupumzika kwa muda . |
Muigizaji Jacky(Rajesh Kumar ) akiwa amepumzika katika eneo maalumu la wageni . |
Muigizaji Jacky (Rajesh Kumar ) akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Tanzania,Ibrahim Musa , |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.