| Wananchi wa Chumbuni wakijumuka katika futari ilioandakliwa na Kamanda Hamjad katika viwanja tawi la CCM Muembemakumbi Zanzibar. |
| Wananchi wakijumuika katika futari ilioandaliwa kwa ajili yao. |
| Akinamama na watoto wakijumuika katika futari ilioandaliwa kwa ajili yao. |
| Akinamama |
| Akinamama |
| Mzee wa Chumbuni akitowa shukrani wakati wa hafla hiyo ya futari ilioandaliwa na Kamanda wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza. |
| Mzee wa Muembemakumbi akisoma dua baada ya hafla hiyo ya futari. |
| Dua. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment