Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuuya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki. PICHA ZOTE NA MWANDISHI WA GSENGO BLOG - ZEPHANIA MANDIA, DODOMA
Wazee wa Kamati ya Ushauri ya CCM ikiongozwa na Rais Mstaafu awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapa, Makamu Mstaafu wa CCM, Mzee Pius Msekwa pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Cleopa Msuya.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.