Katibu wa CCM Mtwara mjini, Modesta Mwaya akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia), fomu zilizotiwa saini na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mtwara mjini, waliofika kwenye Ofisi hizo Juni 08.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500. |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.