Zaidi ya wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI
• Airtel yazinduzi mnara wa pili UDOM
Dodoma, Aprili 25, 2015, kufahamu ukweli kwamba Dodoma ni mji mteule na wenye kuendelea kwa kasi hapa nchini na mji uliobahatika kuwa miongoni mwa mji wenye chuo kikubwa hapa Tanzania, Airtel imeendelea na utamaduni wake wa kutoa huduma iliyo bora kwa Watanzania.
Leo, Airtel Tanzania imezindua huduma yenye ufanisi na gharama nafuu UNI WI-FI ambayo itawezesha wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dodoma kupata huduma iliyo bora na nafuu, ambayo itaweza kukidhi mahitaji kwa wanafunzi wapatao zaidi ya 60,000 na wanachama wa taaluma mbalimbali yenye kasi kubwa na inayopatikana kwa bei nafuu.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), xxx Meneja Mauzo, xxxx alisema: "Leo hii tunazindua Airtel UNI WI- FI huduma ya internet inayopatikana kwa bei nafuu kwa ajili ya wanafunzi na pia tumeongeza mnara wa pili wa simu ambao tunaamini utaimarisha mtandao wetu hapa UDOM na kuinua uchumi wa nchi yetu na kwa watu wanaoishi karibu na maeneo haya "
Tunafuraha kubwa kwa Airtel kuweza kuboresha Maisha ya wanafunzi hapa chuoni kwani spidi hii itawawezesha wanafunzi kuweza kufanya utafiti wao, kupata habari mbalimbali za taaluma au kijamii kupitia mnara huu wa Airtel "
Wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI
• Pia Airtel yazinduzi mnara wa pili UDOM
Dodoma, Aprili 27, 2015, kutokana na ukweli kwamba Dodoma ni mji mteule na wenye kuendelea kwa kasi hapa nchini na pia ni mji uliobahatika kuwa miongoni mwa mji wenye chuo kikubwa hapa Tanzania, Airtel Tanzania mkoani huko imezindua huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa wananfunzi kwa gharama nafuu
UNI WI-FI itawezesha wanafunzi zaidi ya 60,000 katika Chuo Kikuu cha Dodoma kupata huduma ya kimtandao ya Intaneti iliyo bora na nafuu pamoja na kukidhi mahitaji ya wote waishio chuoni hapo.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mkurugenzi wa huduma kwa wateja Airtel Bi , Adriana Lyamba alisema: "Leo hii tunazindua Airtel UNI WI- FI huduma ya internet inayopatikana kwa bei nafuu kwa ajili ya wanafunzi na pia tumeongeza mnara wa pili wa simu ambao tunaamini utaimarisha mtandao wetu hapa UDOM na kuinua uchumi wa nchi yetu na kwa watu wanaoishi karibu na maeneo haya "
Tunafuraha kubwa kwa Airtel kuweza kuboresha Maisha ya wanafunzi hapa chuoni kwani spidi hii itawawezesha wanafunzi kuweza kufanya utafiti wao, kupata habari mbalimbali za taaluma au kijamii kupitia mtandao wetu wa Airtel "
Meneja Masoko wa Airtel UNI WI-FI, Bi, Aneth Muga, alisema "Airtel wifi itakuwa inapatikana kwa mwanafunzi yoyote hapa UDOM, kwa kutumia simu zao za mkononi, laptop, kamera na kwa mwanafunzi yoyote aliyepo UDOM bila kujali mtandao wa simu wanaoutumia.
Wanaweza kununua UNI Wi-FI vocha ambayo inapatikana masaa 24 , kwa kifurushi cha siku , wiki, mwezi na kifurushi cha usiku mzima.
Fikiria! Unaweza kufurahia kifurushi cha 1 GB kwa shilingi 500 tu! Alisisitiza Bi, Muga
Kwa upande wake mgeni rasmi ambae ni mshauri wawanafunzi chuoni hapo (UDOM) Bw, Dick Manongi alisema: ". Tunawashukuru sana Airtel Tanzania kwa ajili ya uzinduzi wa huduma hii kubwa na ya bei nafuu hapa chuoni. Nina hakika kwamba, huduma hii itaimarisha uwezo wa kujifunza na kuendelezea wanafunzi urahisi wa kujipatia Habari mbalimbali zinazoendelea hapa nchini na hata nje ya nchi ".
Ningependa kuwaomba wanafunzi wote kutumia fursa hii kubwa ili kuweza kuongeza ujuzi wao kitaaluma na katika Maisha yao ya baadae.
Uzinduzi wa Airtel Uni Wi- Fi katika chuo kikuu cha Dodoma umekuja mara baada ya Airtel Tanzania kuzindua huduma kama hiyo katika chuo kikuu cha Saint Augustine (SAUT) jijini Mwanza na mipango mingine inaendelea kufikia vyoo vingine hapa nchini.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.