Kutoka Rock City 'Mwanza' Hip hop artist anayekwenda kwa jina la Bonz anamshirikisha mkali wa R&B nchini Jux kupika mpini unaoitwa My Angel. Mapishi yakifanyika katika studio za Am Records jijini Dar es salaam chini ya mtayarishaji Gard. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
WAMERUDI NYUMBANI BINADAMU ALIPOANZIA
-
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro.
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB Bank Plc kutoka mataifa ya Burundi,
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Falme za Kiar...
0 comments:
Post a Comment