![]() |
| Kulia Rais wa bendi ya Super Kamanyola Shushu De Candor akisababisha burudani usiku huu ndani ya Villa Park Mwanza. |
![]() |
| Mpiga solo guitar Alan Mapenzi na nyuzi zake.....balaaaa. |
![]() |
| Keybordist mpyaaaa kijana mdogo umri miaka ..... Hatari Balaaa....(L) |
![]() |
| View from behin at Villa Park Mwanza Karibu sana.. |
![]() |
| Drumer boy Sele Kardance kutambulishwa rasmi siku ya Valentine (14 Feb 2015) |
![]() |
| Mzuka na safu ya mbeeeele. |
![]() |
| Wakuitwa 'Cathy Butamu' ....aiseeeeee!!!!! |
![]() |
| Vimba na style nyingine nyigi za kucheza kutambulishwa rasmi usiku wa Valentine at Villa Park ...Unakosajeh..! |
![]() |
| Machozi ya raha na Husna Bongo. |
![]() |
| Wow... |
![]() |
| Sindikiza chapa ilale... |
![]() |
| Mc at Villa Park kutambulisha yaliyomo. |
![]() |
| Mpango mzima. |
Tupe maoni yako













0 comments:
Post a Comment