ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, February 1, 2015

CONGO DR YAITIA ADABU CONGO BRAZAVILLE

DR Congo ilitoka nyuma na kuishinda Congo kwa mabao 4-2 na kufika katika semi fainali ya mechi za kombe la Afrika.
Congo DR ilitoka nyuma 2-0 na kuishinda Congo katika mechi iliokuwa na kasi na mchezo mzuri kutoka pande zote mbili.
Ferebory Dore alifunga krosi safi huku Thievy Bifouma akifanya mabao kuwa 2-0.
Katika dakika ya 16 Diermerci Mbokani alifunga bao la kwanza ,kabla ya Bolika kufunga bao la pili naye Joel Kimuaki akafunga bao la tatu.
Mbokani aliwazunguka tena mabeki wa Congo na kufunga bao la nne na la ushindi katika shambulizi la ghafla.CHANZO/BBC SWAHILI
MICHEZO YA LEO ROBO FAINALI
GHANA 16:00 GUINEA
COTE D'VOIR 19:30 ALGERIA

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.