![]() |
| Yamoto 'Yamoto kweli ingawa haiunguzi'.... |
![]() |
| Dogo Asley akiongoza mashambulizi ya Yamoto Band katika usiku wa Valentine mwishoni mwa wiki, show iliyopigwa ndani ya ukumbi wa Buzuruga Plaza jijini Mwanza. |
![]() |
| Ukumbi ulifurika mashabiki toka kona na kona. |
![]() |
| Yamoto band kikazi zaidi. |
![]() |
| Buzuruga Plaza Mwanza na mashabiki wa Yamoto band. |
![]() |
| Mapigo adimu na style zake za uchezaji kwa stage. |
![]() |
| Eneo la tukio ..Buzuruga Plaza. |
![]() |
| Mashabiki walishindanishwa lakini huyu ndiye aliyeuwa ile kinyamaaaaa... |
![]() |
| Nao yamoto band wakajibu mapigo ya style ya shabiki. |
![]() |
| Hapa kuleeeeEEEeeee.....!! |
![]() |
| Ujio wa Yamoto band uliambatana na uzinduzi wa Video yao mpya ya wimbo 'Nitakupwelepweta' |
![]() |
| 'Hebu niache' |
![]() |
| The place. |
Tupe maoni yako













0 comments:
Post a Comment