![]() |
| Mzungu toka First Aid aliomba kupiga picha na Supa Star Ally Yanga. |
![]() |
| Willy wa KIROYERA TOURS AND SAFARIS alikuwepo eneo la tukio. |
![]() |
| Willy wa KIROYERA TOURS AND SAFARIS akimtunza msanii matata'... |
![]() |
| Manjigili ya Matata....!! |
![]() |
| The angle. |
![]() |
| Kushoto ni Willy na Kulia ni Ally Yanga. |
![]() |
| Awamu ya kwanza ilishirikisha mbio za mitumbwi kwa wanawake. |
![]() |
| Msimamizi akielekeza eneo la kukabidhi namba kwa washindi. |
![]() |
| Mapozi ya frendz. |
![]() |
| Sasa ni zamu ya mbio za mitumbwi kwa wanaume. |
![]() |
| Mwenyekiti wa Chama cha mbio za Mitumbwi mkoa wa Kagera Faraji Mgaye (katikati) akizindua mbio za mitumbwi wanaume. |
![]() |
| Kaa tayariii..... |
![]() |
| GoOo!!. |
![]() |
| Washiriki hawa wataelekea hadi kwenye kisiwa cha kilima kinachojitokeza majini na kukizunguka kisha kurejea mwaloni. |
![]() |
| Macho toka ufukweni. |
![]() |
| Wadau watazamaji. |
![]() |
| Mapokezi ufukweni kwa washindi... |
![]() |
| Kundi la washindi wa Kwanza na Wapili watawakilisha mkoa wa Kagera katika fainali za Kanda zitakazopigwa jijini Mwanza. |
![]() |
| Shwangwe. |
![]() |
| Kundi washindi upande wa wanaume na mtonyo wao!! |
![]() |
| Kundi washindi wanafasi tatu za juu upande wa wanaume kuwakilisha mkoa wa Kagera kwenye mashindano ya Kanda yatakayofanyika baadaye mwezi huu jijini Mwanza. |
Tupe maoni yako





















0 comments:
Post a Comment