Watu wanne wamefariki dunia na wengine 40 wakiwa majeri kufuatia ajali ya Basi la Wibonela Express linalofanya safari zake kati ya Kahama – Dar ambalo lilipinduka baada ya kutoka stand kuu ya kahama kilometa chache toka stand hiyo kwenye eneo la Phantom taarifa kutoka Polisi zinaarifu.
Taarifa za awali zinasema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.
Taarifa za awali zinasema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.
Picha kwa hisani ya mitandao mbalimbali.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.