|
Mchezaji Abdalah Abdul(kulia) akijaribu kumtoka Hilari Salehe wakati wa hafla kwa nafamilia wa Resolution Insurance(Bima ya Afya) iliyofanyika katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. |

Hilari Salehe(kushoto) akijaribu kuwatoka Abdalah Abdul (kulia) na Paul Kavishe wakati wa hafla kwa nafamilia wa Resolution Insurance(Bima ya Afya) iliyofanyika katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. |
|
Baadhi zya washiriki wa mbio za Magunia wakishindana wakati wa wa hafla kwa nafamilia wa Resolution Insurance(Bima ya Afya) iliyofanyika katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Robert Kishiki alishinda mbio hizo. |
|
Baadhi zya washiriki wa mbio za Magunia wakijiandaa kushindana wakati wa wa hafla kwa nafamilia wa Resolution Insurance(Bima ya Afya) iliyofanyika katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Robert Kishiki alishinda mbio hizo. |

Wafanyakazi wa Resolution Insurance wakiwaburuza wateja wakati wa mpambano wa kuvuta kamaba baina ya wafanyakazi wa kampuni hiyo na wateja uliofanyika viwanja vya kijitonyama jijini Dar es Salaam mwioshoni mwa wiki.Wafanyakazi wa Resolution Insurance walishinda. |

Mkurugenzi wa Kampuni ya Resolution Insurance, Oscar Osir (kushoto)akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya Wanafamilia wa kampuni hiyo iliyofanyika mwiashoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.Kulia ni Watoto wa wakisubili keki ikatwe wale. |
|
Keki |
|
Mkurugenzi wa Kampuni ya Resolution Insurance, Oscar Osir(katikati) akikata keki wakati wa hafla ya kampuni hiyo kwa wafanyakazi na wateja iliyofanyika Viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam. |
KAMPUNI YA BIMA YA AFYA YA RESOLUTION
YAANDA SIKU MAALUM YA FAMILIA KWA WATEJA WAKE
TAARIFA KWA VYOMBO VYA
HABARI
Dar es Salaam, Saturday 15th
November 2014: Kampuni ya
Bima ya Resolution leo hii imeaanda siku maalum ya familia kwa ajili ya wateja
wake katika viwanya vya Posta jijini Dar es Salaam.
Hii ni mara ya kwanza kampuni hiyo imeaanda siku hii maalum kwa ajili ya
wateja wake na kulikuwa na burudani ya kutosha kutoka bendi ya Borabora, DJ
maalum na vichekesho kutoka MC Pilipili. Kulikuwa pia na michezo mbalimbali ya
watu wazima na watoto kama vile: soka, dance limbo na tug of war. Wateja
waalikwa walipata chakula kwani kulikuwa na chakula cha kutosha.
Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bima ya
Resolution Bwana Oscar Osir alisema, “ Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka wa 2014
tuliona muhimu kumaliza mwaka kwa furaha na ndio maana tumejumuika na wateja
wetu leo katika siku hii ya familia
“ Kadri kampuni yetu inavyozidi kukua mchini Tanzania tunatarajia kuwa na
siku maalum zingine kama hizi ili kufurahi pamoja na wateja wetu. Wateja wetu
wametuamini kuwapa bima ya afya bora na kwa familia zao na hivyo basi ni vizuri
kuwaonyesha jinsi tunavyowathamini”
Bwana Osir alisema
Kampuni hiyo pia ilitoa huduma ya afya na kuwapa wateja wao fursa ya
kujadiliana maswala tofauti ya afya.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.