![]() |
Dogo Asley akikisanukisha na Yamoto Band jumamosi ya tarehe 15 Nov Jembe Beach Mwanza. |
![]() |
Sauti iliwakuna mashabiki. |
![]() |
Yamoto Band. |
![]() |
Vijana wa Yamoto band wakisababisha. |
![]() |
Eneo la tukio at Jembe Beach Mwanza. |
![]() |
Hapo vipi mazee? |
![]() |
Sasa ilikuwa zamu ya Skylight Band,,, Jonico (L) na Sony Masamba (R) |
![]() |
Kutoka mbaaaaaali. |
![]() |
Shine... |
![]() |
Aneth Kushaba. |
![]() |
Skylight squad.... |
![]() |
Makamuzi ya Skylight Band ndani ya Jembe ni Jembe Mwanza. |
![]() |
Chukuwa tano style. |
![]() |
Sadiki baba yuleEee!! |
![]() |
Ale baba huyooooo!! |
![]() |
Colours in na de area. |
![]() |
Kama ulikosa ni wewe tu pichani watu wa Mwanza wakishow Love kwenye show ya nguvu ya SKYMOTO iliyofanyika mwishoni mwa wiki at Jembe ni Jembe Mwanza. |
![]() |
Licha ya kutoa shukurani vilevile Msimamizi wa Yamoto Band Mkubwa Fella alipata fursa ya kusalimiana na wakazi wa Mwanza. |
![]() |
Mkubwa Fella akitambulishwa na 'Jembe' |
![]() |
Mwanza yoooooOOOooote ilikuwa hapa. |
![]() |
Sam love akifanya yake kwa stage. |
![]() |
The rock city. |
![]() |
Flowers. |
![]() |
Brothers. |
![]() |
Pamoja sana.... Dvj Frank, Adam Mchomvu, Chepe, Fid Q, Chibwa, Mzungu Jembe. |
![]() |
Ze eria....juu kwa juu....!! |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.