ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, October 2, 2014

KOCHA SAID CHAKU AMNOA AZIZI RASHIDI KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA AZIZI ABDALLAH MAADHIMISHO YA 'NYERERE DAY'

Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Said Chaku kulia akimwelekeza jinsi ya kupiga makonde bondia Azizi Rashidi anayejitaalisha kwa ajili ya mpambano wake na Azizi Abdallah mpambano utakaofanyika sikukuu ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika
Kocha  wa mchezo wa ngumi Said  chaku kulia akiwaelekeza mabondia wa Gongolamboto jinsi ya kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana wakati wa mazoezi ya klab hiyo jana
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Said Chaku kulia akimwelekeza jinsi ya kupiga makonde mazito bondia Azizi Rashidi anayejitaalisha kwa ajili ya mpambano wake na Azizi Abdallah mpambano utakaofanyika sikukuu ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika
Kocha  wa mchezo wa ngumi Said  chaku kulia akiwaelekeza bondia Mussa Mgosi  wa klab ya  Gongolamboto jinsi ya kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana wakati wa mazoezi ya klabu hiyo jana Picha na SUPER D BLOG

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.