| Bondia Elick Mwenda kushoto wa Malawi akikwepa ngumi wakati wa mpambano wake na bondia Allybaba Ramadhani uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Allybaba alishinda kwa pointi mpambano huo . |
| Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne |
| Allybaba Ramadhani |
| Bondia Shomari Milundi kushoto akipambana na Saimoni Zabron wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi mpambano huo walitoka Droo ya kufungana point |
| Shomari Milundi kushoto na Simon Zablon wakinyooshwa mikono juu na refarii Pembe Ndava kuashiria Doroo |
| Bondia Said Yazidu kushoto akipigwa ngumi na Djamal Dahou wa Algelia Dahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza ya mpambano huo. |
| Bondia Djamal Dahou wa Algelia akipambana naSaid YaziduDahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanzapicha na SUPER D BLOG. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment