ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, September 14, 2014

PICHA ZA GEITA ILIVYONG'ARA NA SERENGETI FIESTA 2014

Ni mkali Ommy Dimpoz akipiga show mbele ya mashabiki wake katika show iliyofanyika jana katika ukumbi wa Desire Park na kuwa na list ndefu ya wasanii akiwemo Mo Music, Barakah Da Prince, Bk Sunday, Chegge na Temba, Mr.Blue, Young Killer, Stamina, Ney wa Mitego, Fid Q, Recho, Khadijah, Linah na Ommy Dimpoz,
Mapinduzi makubwa yamefanyika toka kwa wanamuziki wanadada huyu anaitwa Khadijah. 
Mo Music, akifanya yake fIESTANi.
Linah.
Special dance la Linah.
Hapa kulikuwa na ligi ya burudani akina dada wawili wakali Afrika Mashariki Khadijah (L) na Linah (R).
Wow with Linah.... 
Linah ni mmoja kati ya wasanii wanaofanya vyema sana katika stage, huku wakiwa na mapinduzi makubwa ya style za uburudishaji.
Mr. Blue amechange now days jamaa anapiga show za hatari, wengi mashuhuda wa kazi zake jukwaani (mashabiki) wameonekana kumpa umakini kila dakika yake stejini....
Mr.Blue doing his thing.
Mc Baba la baba Adam Mchomvu aka Baba Jonii alikisanukisha mbayaaaa!!
Young Killer.....
Macho kwenye show....
Makamuzi ya Recho.
Ommy Dimpoz...na saluti zake kwa mashabiki.
Ukurasa mwingine wa Ommy Dimpoz.
Ni mistari ya Hip Hop kutoka anga la WEUSI anaitwa Nikki wa Pili.
Ngosha the don aka Fid Q.
Naitwa nani (FId Q) kazi yako nini (Mziki).....!!!
Dj Zero na Dj Fetty ni wakati wa Maswali na majibu....Kwa mFANo...!
WANAUMEEEEeeeeee!!!!
Mheshimiwa Temba (L) na Chege Chigunda (R).
Stamina ....
Toka kwa Stamina (L) na Ney wa Mitego (R) walifanya kama kukutana hivi kwenye kibaraza kujadili Game ya hIP hOP, ambapo katika kibaraza hiki mashabiki walipata kushuhudia jicho kwa jicho sikio kwa sikio hisia za bonge la Hit song walilofanya featuring hawa majamaa linaloitwa 'HUKU KWETU VIPI' 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.