Wanyamwezi kutoka nchini Nigeria Peter and Paul wanaounda kundi la P Square wakimshirikisha mwanamziki T.I toka nchini Marekani wameshusha track mpya sokoni iitwayo 'Ejeajo' ambayo imeambatana na kichupa chake shuhudia mwenyewe hapa chini ukali wa mzigo huo ukiwa na ladha flani hivi za flash back....humo ndani break dance zinavunjwa kinowma...Eh bana daaaaaaaHhHhH!!
0 comments:
Post a Comment