![]() |
| Safari with my Catherine. |
![]() |
| Pasua chini barabara, juu reli. |
![]() |
| Stendi ya 'K' |
![]() |
| Taswira barabarani kutoka wilaya ya same kuelekea wilaya nyingine mkoa wa Kilimanjaro. |
![]() |
| Utalii wa ndani safi sana. |
![]() |
| Nyumba ya wageni iliyoboreshwa zaidi. |
![]() |
| Upepo mkali ile kinyama kilometa 40 zifuatazo. |
![]() |
| Stendi ya wilayani Same kuna Marufuku...Chunga usije ukalimwa faini. |
![]() |
| Mazingira nje ya mji. |
![]() |
| Wananchi wanaota jua. |
![]() |
| Parking. |
![]() |
| Kama mdudu ndani ya kokwa la embe (ukajiuliza kaingiaje) basi ndivyo jiulize tairi hilo chini ya huu mti lilipenya penyaje...!!? |
![]() |
| Mawasiliano muhimu. |
![]() |
| Biashara kuu kwa wasafiri ni mbogamboga. |
![]() |
| Mountain. |
![]() |
| Mti mteule kwa makazi ya ndege. |
Tupe maoni yako
















0 comments:
Post a Comment