![]() |
| Just an angle kona na kiunga cha barabara ya Stesheni kuelekea kulia na barabara ya Kenyeta kuelekea mbele kuleeeeee!!! |
![]() |
| Barabara ya Stesheni na mtaa wake kwa mbele kushoto CBE Mwanza. |
![]() |
| Juu kwa juu hadi jiwe la Bismark kando kando ya ziwa Victoria. |
![]() |
| Parking kwa fasi ya barabara ya Posta pembezoni mwa majumba ya biashara na huduma mbalimbali jijini Mwanza. |
![]() |
| Mnyororo barabara ya Kenyeta jijini Mwanza |
![]() |
| Nyamagana matengenezoni... |
![]() |
| Kwa umbali kidogo. |
![]() |
| Mazingira barabara ya Uhuru jijini Mwanza. |
Tupe maoni yako








0 comments:
Post a Comment