Divas wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mpera(wa pili toka kushoto) wakilianzisha Burudani kwa nguvu zoteee ndani ya Thai Village masaki.Kila ijumaa Bendi yako mahiri na isiyoshikika Skylight Banda wanakuwa Thai Village wakikupa burudani ya nguvuuuu na suprizeee kibaooooo,Usikose Ijumaa Hii. |
Digna Mpers akipiga Vocal Kaliii kabisa na kwa madaha ili kuwapa burudani mashabiki na wapenzi wa Skylight Band ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita. |
Anaitwa Mkali wa Sauti Mary Lukos akiimba Vizuri kabisa ili kuwapa burudani mashabiki wake ndani ya Thai Village. |
Tamu ya warembo Sam Mapenzi akizitiririsha Sauti kaliiii na zenye utamu kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band. |
Le Meneja Her Self Aneth Kushaba akiwa na furahaa sana kuona mashabiki wao wanapata kile wanachokiitaji kutoka kwao na si kingine ni burudani iliyokwenda shule. |
Baraka zakooo ziweee na Mimiiiiii kwa mkono wakooo kweliii umenibarikiiiiiiiii Le Meneja Her Self Aneth Kushaba(katikati)akiimba kwa upoleeee kabisaaa kumshukuru Mungu kwa kila jambo. |
Hashimu Donode Akizipigaaa Sauti kali na zenye mpangilio ndani ya Thai Village. |
Aneth Kushaba(wa kwanza kushoto)akiwa na Digna Mpera(wa pili toka kushoto) wakiimba kwa kupokezana kwa rahaaaa zaooo,yote ikiwa ni kuwapa burudani mashabiki wao. |
Ukafika wakati ambao Ulikukwa unasubiliwa ni Kumpongeza Mrembo Digna Mpera kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake,Aneth Kushaba akimwelezea kidogo Kijana wake |
Wowww wowwww Ilove you allllllll ni Digna Mpera akifurahia kuona shangwe za kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa. |
Ohhhhhh My God!!!!!!! Ni mshangao kwa Digna Mpera baada ya kuona zawadi za keki zikimiminika kwake. |
Digna Mpera(katikati) akifurahia zawadi ya keki alizopewaa. |
Operation Manager wa MoBlog Zainul Mzige Akilishwa keki na Digna Mperaa. |
Digna Akimlisha keki Hashimu Donodeee. |
Wapenzi na mashabiki wa Skylight band wakicheza muziki mzuri kwa rahaaa zao. |
Nyomiiii la kutoshaaaaa Usikose Leo upate raha na Skylight Band. |
Hapo sasa ukafika wakati wa mduara hapo ni mwanaume kazi na mwanamke nyongaaaaa. |
Si umeona viuno Hivyooooo Usikose leo Thai Village upate burudani ya kufa mtu. |
Kweli Skylight Kuna Mengi Oparation Manager wa MoBlog Zainul Mzige akapata na Bahati ya kukutana na Classmate wake wa kitambooooooo. |
Divasss wa kutoshaaa wanakuwepo kupata burudani na Rahaaaa. |
Zainul Mzige Akipata Ukodak na Mkali wa Vocal Mary Lukos. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.