ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, August 7, 2014

MWANZA NA VIVUTIO VYAKE...!!

Wakati amsha amsha za kuelekea Serengeti Fiesta 2014 zikiendelea jijini Mwanza, mbali na usongo ulionao kuishuhudia burudani kwa stage la FIESTA, haya ni moja kati ya ma picha ya kutambulisha baadhi ya vihusishi vya kitalii ambavyo vinapatikana hapa jijini ambavyo kwavyo ni moja kati sababu kwako ewe uliye mbali kutamani kudropu pande hizi....Haujachelewa kwani mpango mzima ni jumamosi hii ya tarehe 9/08/2014 CCM Kirumba Mwanza. Pichani tukipata double selfie Millard Ayo (L) G. Sengo (R).
Millard Ayo at Tilapia Hotel Mwanza.
Kombi ....

Kiserere!!
Dubwiiii!!!
Za mkoloni...
Time ya kupata sato na ugali.
Maadhari safi, upepo mwanana toka ziwa Victoria Mwanza.
Karibuni katika Serengeti Fiesta 2014, Tarehe 09/08/2014 Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.