MWANZA hatimae wametoa Super Nyota wao ambaye amepatikana leo August 07 kwenye viwanja vya Jembe ni Jembe ambapo mshindi aliyeibuka ni Honeya ambae kwa aina yake ya ushiriki usingeweza kuamini kama atashinda.
Miongoni mwa vitu ambavyo vimesemwa na mtoa fomu hizo kuwa msichana huyo kwanza alichelewa kuchukua fomu na kujaza na lingine ambalo limewashangaza hata majaji ni pale alipokuja tayari wenzake wameanza lakini kwa alichokifanya hakuna mtu aliyeamini.
Nakumbuka Fetty ambaye ndiye alikua Jaji mkuu alimuuliza kama aliwahi kuimba sehemu yoyote ambaye inamfanya kujua kupangilia muziki wake kama muziki wa bendi lakini msichana huyo alisema hajawahi ingawa ana single aliwahi kurekodi.
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa jana kwa fasi ya Jembe Beach Resort Mwanza.
Mshidi wa Super Nyota Divaz 2014 Honea akiimba.. |
Muda wa kuwajua tatu bora uliwadia. |
washindi nafasi ya kwanza na yapili. |
Dj Fetty (kushoto) akihojiana na Mshindi wa kwanza wa Super Nyota Divaz Mwanza 2014 Mwanadada Honea. PICHA ZOTE KWA HISANI YA MILLARD AYO. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.