Hawa ndiyo majaji wa Dance La Fiesta 2014 Mwanza, kutoka kushoto ni Producer D. Classic, Adam Mchomvu, Dickson George aka Lugha Kali na mkali toka EX studio. |
Wadau waliojitokeza kutia macho kinyang'anyiro cha Dance La Fiesta kilichofanyika jana Club Jembe jijini Mwanza. |
Dj K-Flip toka Club Jembe akitoa ushirikiano. |
Wow...Mashabiki wakiwa na kiu ya kujua nani mkali. |
Shangwe kwa kizuri kinapofanyika. |
Tanicando wakifanya yao ndani ya shindano la Dance la Fiesta 2014 mkoa wa Mwanza ambapo wakali hawa waliinyakua nafasi ya pili. |
Young Kids toka mitaa ya Uhuru Kati. |
Max toka kwa majaji. |
The area. |
Tanicando wakiwasikiliza majaji na pointi zao. |
Jaji namba moja Adam Mchovu (C) akitoa maksi kwa washiriki. |
The area. |
Mapozi mengine dah...hii kweli yaitwa iga ufe. |
Pembe tano. |
AAAaaaU!! |
Wakijadili yao Dj Fetty (L) na Dickson George aka Lugha Kali. |
Wakiyainjoy waadhari ya Jembe Beach kutoka kushoto ni Producer Lolly Pop na kulia ni prizenta wa Passion Fm Philbert Kabago. |
Wasanii wa Rock City wakishow love na G. Sengo Blog. |
The Thing....!! |
'Vitu vya Michael Jackson' |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.