| Mkurugenzi Farida A. Sekimonyo wa Faridas Foundation Akiomba Sala ya Uzinduzi Rasmi wa Foundation. |
| Mshehereshaji wa Shughuli ya uziinduzi wa Faridas Foundation Taji Liundi. |
| Elias Masaki katibu mkuu 'CHAWATA' na pia Mweka Hazina Shirikisho la watu wenye ulemavu akichangia mawazo kuhusiana na jinsi Farida Foundation Inavyofanya kazi zake kwa Jamii. |
| Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia maada mbalimbali zilizokuwa zikiendelea katika uzinduzi wa Faridas Foundation. |
| Kassim Kibwe Katibu wa "SHIVYAWATA" Temeke na Mwenyekiti wa Albino akichangia maada Iliyokuwa ikiendelea katika uzinduzi wa Faridas foundation. |
| Wageni waalikwa wakifuatilia kwa umakini Uzinduzi wa Faridas Foundation. |
| Afisa Miradi wa Faridas Foundation Bw.Lumanus akijadiliana Jambo Na Mkurugenzi Wa Faridas Foundation Bi Farida A.Sekimonyo. |
| Wasanii walemavu wajulikanao kama Mabaga Fresh waliojitokeza kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Faridas Foundation wakifurahia mada zilizokuwa zinatolewa. |
| Kikundi cha Mabaga Fresh Wakitoa Burudani kwenye uzinduzi wa Faridas Foundation. |
| Mkurugenzi wa Faridas Foundation Akimkabidhi zawadi ya pointer Mshehereshaji wa Shughuli hiyo Bw.Taji Liundi. |
| Afisa Miradi wa Faridas Foundation akikabidhiwa cheti cha Uadilifu na Mkurugenzi wa Foundation hiyo. |
| Mkurugenzi wa Faridas Foundation(kulia) Akiwakabidhi cheti cha Ushirikiano wawakilishi wa Global Publisher. |
| Mwakilishi wa mtandao wa Dj Sek Blog akipokea Bw.Geofrey Adroph Cheti Kwaniaba ya Mkurugenzi wa mtandao huo. |
| Keki ya maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya uzinduzi wa Faridas Foundation. |
| Mkurugenzi wa Faridas Foundation Bi Farida A,Sekimonyo akimlisha keki mama yake mzazi kwa niaba ya wageni wote walioalikwa kwenye uzinduzi huo. |
| Shampeni ikiandaliwa kufunguliwa. |
| Wakigonga glass kiitakia Heri Faridas Foundation. |
| Mshehereshaji wa Uzinduzi wa Faridas Foundation akipiga mnada picha kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Foundation. |
| Mshehereshaji wa Uzinduzi akipiga mnada fulana yenye nembo ya Faridas Foundation kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Foundation. |
| Mmoja ya wageni akichangia Kiasi cha pesa katika mnada wa picha iliyokiuwa ikizungushwa katika ukumbi huo. |
| Burudani ikitolewa ndani ya ukumbi katika kupamba uzinduzi wa Faridas Foundation. |
| Mmoja wa wafanyakazi wa Faridas Foundation akifurahia Burudani zilizokuwa zikitolew ndani ya ukumbi katika uzinduzi Rasmi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment