Ujerumani sasa itachuana na Ufaransa katika robo fainali ya kombe la dunia katika uwanja wa Marakana.
Afrika sasa haina mwakilishi katika robo fainali ya kombe la dunia la mwaka wa 2014 baada ya wawakilishi wenza wa bara la Afrika katika mkondo wa pili Nigeria kushindwa mabao mawili kwa nunge na Ufaransa katika mechi iliyotangulia .
Kufutatia ushindi huu wa Ujerumani ni dhahiri sasa kuwa timu zote zilizoongoza baada ya mechi za makundi ndizo zilizofuzu kwa robo fainali ya kombe la dunia .
Ufaransa itakabiliana na Ujerumani siku ya ijumaa katika uwanja wa Maracana saa moja usiku saa za Afrika Mashariki.
Mechi itatangulia ile kati ya weneyeji Brazil na Colombia.
Jumamosi ijayo Uholanzi itakuwa na kibarua kiguimu dhidi ya Costa Rica
Wafungaji mabao ya Ujerumani Mesut Ozil na Andre Schurrle |
30:00+01 GOOOOOAL Ujerumani 2-1 Algeria Djabau ikiwa ni katika muda wa nyongeza mara baada ya dakika 90 kumalizika huku timu hizo zikiwa sare ya bila kufungana.
30:00 zinamalizika Ujerumani imefuzu kwa robo fainali
30:00 Ujerumani 2-0 Algeria Mesut Ozil
ZAIDI BOFYA http://www.bbc.co.uk/swahili/michezo/2014/06/140630_algeria_germany_wc2014.shtml
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.