Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akizungumza na wadau wa bia hiyo wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni. Hafla ilifanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Wadau Mbalimbali wakisherehekea Party ya Bia ya Ndovu Special Malt wakati wahafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Warembo wa bia ya Ndovu Special Malt wakiwa katika picha ya pamoja na kikombewakati wahafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Wadau Mbalimbali wakisherehekea Party ya Bia ya Ndovu Special Malt wakati wahafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli(katikati),Meneja Masoko TBL, Fimbo Butallah(kulia) na mdau wa bia ya Ndovu Special Malt wakigonganisha chupa wakati wahafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni. Hafla ilifanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Wanamuziki wakitoa burudani wakati wakati wahafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Party ya Bia ya Ndovu Special Malt.
Makaribisho katika Party ya Bia ya Ndovu Special Malt.
Arusha Yasimama Kwenye Maombi: Miaka 63 ya Uhuru
-
Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi
wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na
maathimisho ya mi...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.