ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 21, 2014

SAD NEWS.

Hi guy's.
Nimefiwa na Mtoto wangu wa kike 1yr, Everlyne Michael Machellah katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Alikuwa akisumbuliwa na Malaria pamoja na kuharisha. Mazishi tunatarajia kuyafanya kesho muda na wapi nitawajulisha.Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe milele Amina.

Ninaandika haya nikiwa na huzuni kubwa,
 MICHAEL MACHELLAH.

SALAMU ZA POLE:-
1. Ni habari za huzuni, lakini lazima tupige moyo konde kwani Kazi ya Mungu haina Makosa... Pole kwa kipindi hiki kigumu... Mungu atakupa nguvu

Majuto Omary.


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.