ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 7, 2014

NGOMA MPYA YA CRISS WAMARYA

A'M READY ni wimbo mpya by CRISS WAMARYA.. "ningependa kukujuza kua huu ndio wimbo wangu mpya....mwaka jana niliachia wimbo uitwao Usinihukumu, na tangu mwaka huu umeanza sikubaatika kuachia wimbo kutokana na matatizo ya kidunia kufiwa na mjomba yangu, mama yangu mlezi, na ndugu zangu wengi wa karibu, Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi amee!!" anasema Criss Wamarya. 

A'M READY umefanyika studio za TOUCH ONE RECODS chini ya DUPPA ambae mwanzo alifanya usinihukumu "Ningependa kutoa shukrani za dhati kwako kwa kusopport kazi zangu tangu naanza sanaa hii ya bongo fleva mpaka kufiki mahali hapa, nasema bila wewe nisingeweza sina budi kusema asante na MUNGU akuzidishie" aliongeza Wamarya.

G.SENGO blog yasemaaaa... "Kama hauto chukuwa muda kusikiliza track hii basi utakuwa umeinyima nafsi yako madini flani ya burudani  Enjoy"  SIKILIZA KWA KUBOFYA PLAY .

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.