ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 6, 2014

MANENO OSWARD Vs ABDALAH PAZI.

Promotor wa mpambano wa ngumi za usio kuwa na ubingwa, Rashid Kipanga akiwatambulisha, Maneno Osward (Mtambo wa Gongo) kuliana Abdalah Pazi (Mudi Mbabe) wanaotarajia kuchuana Augosti 10,2014.Makubaliano hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Mwinjuma Dar es Salaam jana.
Mchezaji wa Nngumi, Maneno Osward (Mtambo wa Gongo) akisaini mkataba wa kupigana na Abadalah Pazi (Mudi Mbabe) Augosti 10, 2014 katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais wa Chama cha Ngumi Tanzania (TPBC), Chaurembo Palasa akishuhudia.
Mchezaji wa ngumi, Abdalah Pazi (Mudi Mbabe) akisaini mkataba wa kupigana na Abadalah Pazi (Mudi Mbabe) Augosti 10,2014 katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma jijini Dar esSalaam. Kulia ni Rais wa Chama cha Ngumi Tanzania (TPBC), Chaurembo Palasa akishuhudia.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.