ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 15, 2014

HAWA HAPA WASHINDI WENGINE WA FUA UPAE HADI DUBAI.

Mkurugenzi Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka Dudai', Dinah Siame Mkazi wa Dar es Salaam aliyejishindia tiketi ya kwenda kwa mapomziko nchini Dubai na mwenzi wake, baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Mauzo wa Unilever Tanzania, Teresa Kamweru. Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka mpaka Dubai', Julius Juju aliyejishindia fedha taslimu sh. 600,000 baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Mauzo wa Unilever Tanzania, Teresa Kamweru. Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka Dudai', Habiba Shembiru Mkazi wa Dar es Salaam aliyejishindia tiketi ya kwenda kwa mapomziko nchini Dubai na mwenzi wake, baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Mauzo msaidizi wa Unilever Tanzania, Brenda Wakiagi.Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka  Dubai', Joyce Msilu aliyejishindia fedha taslimu sh. 600,000 baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Mauzo msaidizi wa Unilever Tanzania, Brenda wakiago. Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae mpaka Dudai', Ronald Shirima Mkazi wa  Tegeta Dar es Salaam aliyejishindia tiketi ya kwenda kwa mapomziko nchini Dubai na mwenzi wake, baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Matukio wa Unilever Tanzania, Nicholous John.Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam jana.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.