![]() |
| Akiwa ni mmoja wa waalikwa MNEC wa CCM toka wilaya ya Tarime Mhe. Christopher Gachuma, amechangia kwa kuinunua video ya filamu ya I Love Mwanza kwa kiasi cha shilingi milioni tatu. |
![]() |
| Kutoka kushoto ni wakali wa Bongo Movie Dude, Cate Rupia, Wastara na Swebe wakiwa katika meza uzinduzi wa filamu ya I Love Mwanza jana usiku. |
![]() |
| Wadau mbalimbali nameza zao ndani ya JB Belmonte wakati wa uzinduzi wa filamu ya I Love Mwanza jana usiku. |
![]() |
| Sisters. |
![]() |
| Wadau kweye hafla uzinduzi wa filamu ya I Love Mwanza jana usiku. |
![]() |
| Mratibu wa wasanii wa filamu kupitia Shirikisho la Filamu Kanda ya Ziwa Hussein Kimu akisoma risala wakati wa uzinduzi wa filamu ya I Love Mwanza jana usiku. |
![]() |
| Wadau na kulia aliyetupia vitu vya Nigeria ni Katumba. |
![]() |
| Brothers. |
![]() |
| Dadas. |
![]() |
| Mwenyekiti wa wasanii wa Bongo Movie nchini Steve Nyerere akizungumza yake wakati wa uzinduzi wa filamu ya I Love Mwanza jana usiku. |
![]() |
| Inapendeza marafiki wanapo kutana. |
![]() |
| Chagizo ili kati ifanyike wasanii wa Bongo Movie wakishughulika na meza kuu wakati Gachuma akinunua zao la kwanza baada ya uzinduzi wa filamu ya I Love Mwanza jana usiku. |
![]() |
| Burudani imekolea hapatoshi!!!. Uskonde picha nyingine zaja. |
Tupe maoni yako

















0 comments:
Post a Comment