| Warembo wakipata Picha kwenye Red Carpet ya Miaka 10 Ya Bang Magazine. |
| Ukodak wa Nguvu kwa warembo Hawa Kwenye Red Carpet Ya miaka 10 ya Bang Magazine. |
| Wageni wakiendelea kufurahia kupata picha kwenye Red Carpet ya Miaka 10 Ya Bang Magazine. |
| Mwanadada akifurahia kupata picha kwenye Red Carpet ya Miaka 10 ya Bang magazine. |
| Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akipata picha na mama Wa Msanii Toka Marekani Yvonne Sangudi Kwenye Red Carpet. |
| Wageni Wakiendelea kupata Picha Kwenye Red Carpet Ya miaka 10 ya Bang Magazine. |
| Warembo wakipata Picha ya pamoja kwenye red carpet. |
| Designer Faustine Simon akiwa na mrembo wakipata picha kwenye Red Carpet. |
| Meneja Wa Skylight Band Aneth Kushaba akipata picha kwenye Red Carpet ya Bang Magazine. |
| Miss Tanzania 2013/14 Happiness Watimanywa akipata Picha ya Red Carpet Miaka 10 Ya Bang Magazine. |
| Meneja Wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akitoa Historia fupi ya Gazeti kwenye sherehe za miaka 10 ndani ya Escape One. |
| Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akimkabidhi zawadi ya kushukuru mchango wa Mmoja wa Wadau wa Bang Magazine. |
| Meneja wa Bang Magazine akiendelea kutoa zawadi kwa wadau wakubwa wa Bang Magazine. |
| Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akimkabidhi mwakilishi toka Airtel Tanzani Zawadi ya shukrani kwa kuwa Wadau wao wakubwa kwa miaka 10. |
| Mrembo Kutoka Bang Magazine Akafungua Shampeni kwa Furaha kuadhimisha miaka 10 ya Bang Magazine. |
| Keki nzuriii ya Miaka 10 ya Bang Magazine. |
| Meneja wa Bang Magazine akikata Keki kwa Furaha Kusheherekea miaka 10 |
| Kwa Furaha kubwa Kabisa Meneja Emelda Mwamanga Akimlisha Keki Mfanyakazi wake kusheherekea miaka 10 ya Bang Magazine. |
| Meneja naye akapata Nafasi ya kulishwa Keki na Mwenzake. |
| Ni Furaha isiyo na kifani kwa kufikisha miaka 10,tumetoka mbali sana. |
| Bang Magazine Staff Wakipata picha ya pamoja kwa Furaha kubwa kabisaaaa |
| Wageni Waalikwa nao wakapata nafasi ya Kuonja Keki ya miaka 10 ya Bang Magazine |
| Meneja wa Bang Magazine Akapata Nafasi ya kubadilishana Mawazo na wageni waalikwa. |
| Sehemu ya waalikwa kwenye sehemu ya V.I.P |
| Wadau Mbalimbali Walijumuika Pamoja kusheherekea Miaka 10 ya Bang Magazine. |
| Wageni waalikwa wakafungua Muziki kwa Furaha Kabisa Kusheherekea miaka 10 ya Bang Magazine. |
| Mshehereshaji wa miaka 10 Evans Bukuku Akimwita Kwa Steji Msanii Yvonne Sangudi ambate anatokea Marekani Lakini ni Mtanzania. |
| Yvonne Sangudi Akaanza Kuimba Taratibuuuu Kwa Hisiaaaa............... |
| Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akifurahia Muziki mzuri Uliokuwa unapigwa na Msaniii Vyonne Sangudi ndani ya escpe one. |
| Yvonne Sangudi. |
| Wowwwww Yvnone Sangudi Akiimba Kwa Hisia Kali kabisa Kusheherekea Miaka 10 ya Bang Magazine. |
| Hawa vijana Wanaita THE VOICE walipiga show moja ya hatari sanaaaa,Hapa wakiiimba Wimbo maalumu kwa ajili ya miaka 10 ya Bang Magazine |
| Huyu Mwanadada Anaitwa Angel kutoka kundi la The Voice,Aisee aliimba sana sana na alitunzawa sanaaa na mshabiki kwa kipaji chake cha kujua namna ya kucheza na sauti. |
| Kaka huyu na Mdau wa Bang Magazine hakuweza kujizuia Hisia Zake akainuka na kwenda Kucheza Muziki mzuri uliokuwa unaimbwa na Angel. |
| Hawa Ndio Kundi Zima La The Voice wakipata picha ya pamoja. |
| Meneja Emelda Mwamanga Akiwa ana Furaha isiyo na kifani kwa kufikisha miaka 10 ya Bang Magazine. |
| Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akipata Picha Ya Pamoja Na Wadau wake. |
| Hapo sasa Emelda Akashindwa kujizuia kwa Muziki mzuri uliokuwa unapigwa na Msanii Yvonne Sangudi ikambidi kuvua Viatu na kuanza kucheza kwa furaha. |
| Yvonne Sangudi ana Kipaji cha hali ya juu Hapa Aliwaita mashabiki wake jukwaani na kuanza kuimba nao wimbo maalumu kwa ajili ya Tanzani na Afrika. |
| Wowwww!!!!!!!Hapo ni mama Na mwana wakiimba kwa Pamoja tena kwa Furaha Kubwa sanaaaa. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment