ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, May 15, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (ICAO) WAKATI ALIPO MKARIBISHA IKULU JIJINI DAR

Rais  Jakaya Kikwete akimkaribisha  Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin  Ikulu jijini Dar es Salaam, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi.
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe  akionge na  Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin  baada ya kutembelea katika  ofisi za wizara ya uchukuzi  jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Shirika la Usafiri wa Anga( ICAO) yupo nchini  kwa Ziara ya kikazi  kuanzaia Tarehe 14 hadi 18 mei 2014.
KARIBU MGENI MWENYEJI ASHIBE ; Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akimkaribisha Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipotembelea  Makao Makuu ya Wizara hiyo jijini Dar es Salam, leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Kikwete akiongea na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi kuanzia Mei 14 hadi 18 Mei 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Kikwete akiongea na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi kuanzia Mei 14 hadi 18 Mei 2014.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya Pamoja na Katibu  Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ziara ya Kikazi kuanzia Mei 14 hadi 18 Mei 2014.Kushoto ni Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe, pamoja na viongozi wakuu wa TCAA.
Rais Jakaya Kikwete akiagana na mgeni wake Katibu  Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin, baada ya kumalizika kwa maongezi yao ya kikazi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baaddhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA wakati walipokuwa katika ziara ya kikazi na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin ambaye yupo nchini kuanzia Mei 14 hadi Mei 18 2014.Tanzania ni miongoni mwa nchi 24 za ESAF zilizoko Kusini Mashariki mwa Afrika  na Majukumu yake ni Pamoja na Kuendeleza sere,Maamuzi , Kanuni na Mapendekezo,Mipango ya uendeshaji wa sekta Usafiri wa anga inayoratibiwa na ICAO, Pamoja na kutoa misaada ya Kiufundi. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.