ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 5, 2014

HABARI PICHA: SSRA WAWAPA SOMO WAFANYAKAZI WATARAJIWA, JUU YA UMUHIMU WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NA FAIDA ZAKE.

BW. LIBERATUS CHONYA AMBAYE NI AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA SSRA, AKITOA MAELEZO YA AWALI KABLA YA SEMINA KUANZA.
BWANA WILLFRED PASCHAL AKIULIZA SWALI KATIKA SEMINA HIYO, LAWAMA ZAKE AKIZIELEKEZA KWA NSSF.
HAPA BW. LEBARATUS CHONYA AKINUKUU BAADHI YA MASWALI.
MAKAMU WA RAIS AKINUKUU JAMBO MUHIMU WAKATI WA SEMINA HIYO.
MAKAMU WA RAIS CHUO CHA CUHAS- BUGANDO BW. ATUKUZWE GWIHANGWA, AKIPOKEA MASWALI KUTOKA KWA WASHIRIKI.
MMOJA YA WANAFUNZI HUYU ALIPO SIMAMA KUTAKA KUJUA DHAMANA YA SSRA KATIKA KUDHIBITI MIFUKO HIYO.
SARAH KIBONDE MKUU WA MAWASILIANO WA SSRA, AKITOA SEMINA KWA WANAFUNZI WA CUHAS- BUGANDO JIJINI MWANZA.
SARAH KIBONDE, AFISA WA SSRA AKIELEZEA KWA MAKINI MAJUKUMU YA TAASISI HIYO KWA WANAFUNZI WA CUHAS- BUGANDO HIVI KARIBUNI.
UKUMBI UKIWA TULI KWA UMAKINI MKUBWA WAKIMSIKILIZA SARAH KIBONDE, HAYUPO PICHANI WAKATI WA SEMINA HIYO.
WANAFUNZI WA CUHAS -BUGANDO WAKIFATILIA KWA KARIBU SEMINA YA SSRA, ILIYOFANYIKA CHUONI HAPO.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.