| Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo (kushoto) na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Simiyu, Mshuda Wilson (kulia) wakitoa tamko lao kuhusu uamuzi wao wa kuwashitaki wanaohujumu Umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) hivi karibuni jijini Mwanza. |
0 comments:
Post a Comment