ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, April 3, 2014

REAL MADRID YAIBANJUA BORRUSIA DORTMUND 3-0 UEFA.

Real's Gareth Bale celebrates scoring the opening goal against Borussia Dortmund with his team-mate Daniel Carvajal
Mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale akisherehekea mara baada ya kuiongoza timu yake kupata goli la kwanza dhidi ya Borussia Dortmund na hapa akiwa na mchezaji mwenzake Daniel Carvajal. Photograph: Paul White/AP.

VIKOSI:

Real Madrid: Casillas; Carvajal, Pepe, Ramos, Coentrao; Mdoric, Xabi Alonso, Isco; Bale, Benzema, Ronaldo
Subs: Diego Lopez, Varane, Casemiro, Nacho, Morata, Illarramendi, Jose Rodriguez
Dortmud: Weidenfeller; Pszczek, Hummels, Papastathopoulous, Durm; Kehl, Nuri Sahin; Grossbreutz, Mkhitaryan, Reus; Aubameyang
Subs: Langerak, Friedrisk, Hofmann, Jojic, Kirch, Schieber, Ducksch
Referee: M Clattenburg.

GOAL! Real 1-0 Dortmund (Bale 3)

Lovely finish by Bale! 
Real Madrid's Gareth Bale celebrates after scoring against Borussia Dortmund.
Mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale akisherehekea mara baada ya kuitusua Borussia Dortmund katika dakika ya tatu tu ya mchezo. Photograph: GERARD JULIEN/AFP/Getty Images

GOAL! Real 2-0 Dortmund (Isco 26)

Just as they were showing signs of life, Dortmund shoot themselves in the foot. Their failure to clear the ball at the back enabled Alonso to roll the ball to Isco, who sent a well-controlled low shot into the corner of the net from 20 yards. 
Real Madrid's Isco celebrates after doubling his side's lead against Borussia Dortmund.
Ni Real Madrid tena na safari hii si mwingine bali ni Isco cna hapa (katikati) akisherehekea mara baada ya kuachia mkwaju wake umbali wa mita 20 toka lango la Borussia Dortmund nakuwa goli. Photograph: GERARD JULIEN/AFP/Getty Images

Hadi mapumziko: Real 2-0 Dortmund

Real are on easy street.

GOAL! Real 3-0 Dortmund (Ronaldo 57)

Another sumptuous finish after Real won possession high upfield and quickly drove in the knife. Modric passed it to Ronaldo, who wrongfooted the keeper with a quick shuffle of his feet and rolled the ball into the net from 10 yards. 
Cristiano Ronaldo celebrates after scoring his side's third goal.
Goli la tatu ni yule yule mwamba mwenye rekodi ya wastani wa kufunga goli kila mchezo Cristiano Ronaldo. Photograph: JAVIER SORIANO/AFP/Getty Images




Dakika 90 za mchezo zinamalizika: Real 3-0 Dortmund

Depleted Dortmund were just not strong enough to make good on some threatening moments, most of which came after Real had already helped themselves to a lead that should see them safely into the semi-final.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.