ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, April 4, 2014

NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA TANZANIA

NAFASI  ZA  KAZI  ZA  KUJITOLEA

Taasisi  zisizo  kuwa  za  kiserikali ( NGOs)  kutoka  katika  wilaya  mbalimbali  za  Tanzania  bara  na  visiwani,zinahitaji  vijana  wa  kitanzania  wenye  sifa  mbalimbali  kwa  ajili  ya  kufanya  kazi  mbalimbali  za  kujitolea  katika  taasisi  husika.

                 SIFA   ZA   MWOMBAJI :
Mwombaji  nafasi  awe  na  sifa  zifuatazo  :
i.                    Elimu  ya  kuanzia  kidato  cha  nne, sita  na  kuendelea.
ii.                 Awe  raia  wa  Tanzania.
iii.              Awe  mchapakazi  na  anaye  jituma.
iv.              Awe  na  wito  wa  kufanya  kazi  kwa  kujitolea  katika  taasisi  isiyokuwa  ya  kiserikali.
  MIKOA   ZILIPO  TAASISI  HUSIKA.
Taasisi  hizi  zinapatikana  katika  mikoa  yote  ya  Tanzania  bara  na  visiwani .

            JINSI  YA  KUTUMA  MAOMBI :
Unaweza  kutuma  maombi  yako  kupitia  barua  pepe  yetu  ambayo  ni :neemarecruitmentagency@gmail.com   au  unaweza  kutuma  maombi  yako  moja  kwa  moja  kwenye  taasisi  husika, kwa  kutembelea  link  hii  hapa  :  http://www.neemaherbalist.blogspot.com   ambako ndipo  zilipo  taarifa  kuhusu  taasisi  husika.
 MWISHO  WA  KUTUMA  MAOMBI  :
Maombi  yatumwe  kabla  ya  tarehe  20  APRILI 2014.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.