ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 5, 2014

MAKEKE YA SALIM KIKEKE.

Muasisi wa kipindi cha Dira ya Dunia toka Idhaa ya Kiswahili ya BBC London Salim Kikeke ameonekana katika picha ya ukurasa wake wa face book  akiwa ana drive usafiri muhimu wa wananchi wa kawaida mjini London nchini Uingereza (chekshia pichani)  swali limebaki kuwa je kaachana na fani yake ya Utangazaji na Upashaji habari na kuingia kwenye ujasiliamali huu au anahusika kote kote? JIBU LIPATE LEO USIKU KUPITIA DIRA YA DUNIA saa 3:00 Usiku STAR TV (Tanzania) .

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.