ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, February 2, 2014

LILIVYOKUWA CHEREKO LA HARUSI YA TECHNICAL MANAGER WA CLOUDS MEDIA.

Katika pozi Bwana harusi Jackson Joseph na Bi. Silla Jackson. 
Lets us dance.
Bi. Monica wa Clouds Media akizungumza jambo kwaniaba ya wafanyakazi wa Kampuni.
Nabii Yasp Paul Bendera akiwakabidhi maharusi  zawadi ya Biblia ikiwa ni ishara ya kuwataka kuishi kwa kumtegemea Mungu katika hafla iliyofanyika ndani ya ukumbi wa Xcape 2 Mbezi Beach jijini Dar es salaa..
Safu ya meza ya maharusi na wapambe wao ni full tabasamu hakuna kutegea....
Mc wa sherehe ya harusi ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Jahazi Ephrahim Kibonde akiongoza zoezi la ufunguaji shampeni katikati ni Godwin Sanka na kulia ni Bonge wa Power Breakfast.
Baba mzazi wa Jackson (Mzee Joseph mwenyewe) akiwa ameambatana na mama  wakienda kukabidhi zawadi.
Mmmmmmh...Hatariiiiii' tupu ni wakati wa kusakata rumba na hapa mjanja wa wajanja Mbwiga wa Mbwiguke sanjari na Dada Monica wakiongoza raha hizo.
Mwakilishi aliye tuwakilisha 88.1 Mwanza Bw. Samadu Abdul (pale kati) akisakata ngoma ya watu wa kabila la Wahaya.
ChiaaaaaaZZZz.
Picha za kumbukumbu na maharusi wa kwanza kulia ni Samadu Abdul na wapili kushoto ni mtangazaji wa kipindi cha Ng'aring'ari ndani Clouds Tv Mamaa Sakina Lyoka.
Haleluyah....
Timu kamati ya maandalizi ya harusi ikipeleka zawadi kwa maharusi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.