ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, February 5, 2014

DJ MAFUVU ALAMBA SHAVU KUKISANUKISHA NDANI YA FULLMOON PARTY VALENTINE MWANZA.



Kuelekea siku ya wapendanao duniani Valentine's day (14 february) tayari maandalizi mbalimbali yamekwishaanza jijini Mwanza, nia na madhumuni ni kuisababisha siku hiyo maarufu sana duniani kuwa ya kipekee na kwa watu na watu wao. 

Kuliona hilo basi Skylight Entertainment inashusha burudani ya kipekee ambayo hufanyika ufukweni tuu! yaitwa Fullmoon Party, ambapo humo ndani sanjari na Red Capet, mambo mazuri ya 'kilavidavi' zikiwemo zawadi nzuri nzuri zenye hadhi na heshima of coz na za kushangaza zitahusishwa.

 Pia kutakuwa na burudani kali tamu ile 'kinyama' kutoka kwa MaDJ wakali Rock City akiwemo Guest Dj, Dj mwenye manjonjo na Swag za kijanja call him self Dj Mafuvu toka EATV.
Zaidi bofya picha yake hapo juu kusikia masokolompwinyo ya mpango mzima utakavyo kuwa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.