Dereva hana sikukuu. |
Kesho ni maulid. |
Viashiria kuelekea maulid. |
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa BAKWATA, Kitaifa maulid itasomwa Kigoma Mjini baada ya Swala ya I’sha.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa Baraza la Maulid litafanyika saa tisa alasiri (9.00) mjini Kigoma kesho yaani siku ya Jumanne, ya tarehe 14 Januari 2014 ambapo pia itakuwa siku ya mapumziko.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.