SIASA za leo zimekuwa kizunguzungu, watu wanabadilika kama kinyonga, wale wale walio kuwa mstari wa mbele kutia hamasa ya jambo fulani leo, mara kesho wanageuka na kudai kunukuliwa vibaya kwa yale ya jana waliyozungumza, na wale walio kuwa wakinyooshea vidole wengine mithili ya kuwasuta sitoshongaa kesho wakawa na mlengo mwingine tena, Teh..teh...(kicheko) Nimeifuma picha hii mtandaoni. Kiufupi imetengenezwa lakini aliye tengeneza yawezekana ana maono (huwezi jua). 'TAFAKARI' Swali ni kwamba:- ngoma ikigeuka na kuwa hivi siku moja Je! utaunganana watakaonuna? Jibu kimya kimya au kwa kupaza sauti. (samahani lakini)
RAIS SAMIA AZINDUA JENGO LA TRA MKOA WA SIMIYU
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk. Samia Suluhu Hassan leo
tarehe 16.06.2025 amezindua jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa
wa Simiy...
Mahakama yabariki Lissu kujitetea kesi ya uhaini
-
*Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.*
*MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemruhusu Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ku...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.