ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, December 8, 2013

VIONGOZI WA BARA LA AFRIKA WAMETAKIWA KUMUENZI MZEE NELSON MANDELA.

Viongozi wa bara la Afrika wametakiwa kuachana na tabia ya ubinafsi wa kujilimbikizia mali, kung`ang`ania madarakani pamoja na kuwa na mioyo ya visasi katika mapambano ya kisiasa, kama njia mojawapo ya kumuenzi rais wa kwanza wa kizalendo wa Afrika ya kusini mzee Nelson Mandela maarufu kama Madiba aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Ijumaa ya December 06, 2013.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.