ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, November 11, 2013

JK AONGOZA SHEREHE ZA UZINDUZI WA UJENZI WA BARABARA YA BWANGA - UYOVU (LUNZEWE)

Msanii maarufu wa nyimbo za asili toka watu wa kabila la wasukuma Mchelemchele alimkosha Rais Kikwete kwa kutoa burudani iliyowavutia wengi akiwemo  Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  kiasi cha kupata shavu la kupiga picha naye.
Mti wa kumbukumbu ya ufunguzi wa ujenzi wa barabara ukipandwa na JK.
Moja kati ya kikundi cha sanaa kikionyesha umahiri wake katika uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Bwanga  hadi Uyovu (Lunzewe) ambayo inajengwa na serikali kwa thamani  ya shilingi bilioni 45 ikiwa na urefu wa kilomita 45, ambapo mgeni rasmi wa sherehe hiyo alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete.
Moja kati ya kwaya zilizojitokeza katika uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Bwanga  hadi Uyovu (Lunzewe) ambayo inajengwa na serikali kwa thamani  ya shilingi bilioni 45 ikiwa na urefu wa kilomita 45, ambapo mgeni rasmi wa sherehe hiyo alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete.
Wala siyo ugomvi bali ndiyo burudani yenyewe.....!
Utuuzima dawa....!
"Chukuwa hii umeimba vizuri sana"
Baadhi ya ma-DC wa mkoa wa Geita wakiwa kusanyikoni.
Burudani inapokolea.
Zana za kazi zikiwa zimepaki kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Bwanga  hadi Uyovu (Lunzewe) ambayo inajengwa na serikali kwa thamani  ya shilingi bilioni 45 ikiwa na urefu wa kilomita 45, ambapo mgeni rasmi wa sherehe hiyo alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete.

NA: PETER FABIAN

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.