ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, November 11, 2013

BIASHARA YA KUKU ROCK CITY MSIMU HUU KUELEKEA SIKUKUU.

Mchuuzi wa kuku katika soko la Kirumba (kushoto) akinunua kuku kwa jumla toka kwa mfugaji (kulia).
Mfugaji akikabidhi kuku.
Kuku bandani.
Kwa sasa kuku mmoja anauzwa kuanzia shilingi 10,000/= hadi 16,000 kulingana na uzito, kipindi chasikukuu huuzwa hadi shilingi 20,000/=
Of kozi na viazi kwa kiepe'.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.