Meneja wa huduma za Selcom,Bi,Everline Simpilu kushoto akitoa lisiti kwa mteja wa mafuta wa kituo cha Oil Com Bw,Peter Ibrahimu wakati wa uzinduzi wa ununuaji wa mafuta kwa njia ya mtandao wengine wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Oil Com Bw,Mohamed Said Nahdi Ofisa wa Selcom Tumaini Mgori na Meneja husiano wa nje wa kampuni ya Vodacom Salumu Mwalimu huduma za kununua mafuta kwa njia ya mtandao zitakuwa zikitolewa na kampuni ya vodacom kupitia Mpesa ambapo uzinduzi huo ulifanyika Dar es salaam jana Kampuni ya Selcom ndio wawezeshaji na mashine zao za POS ndio zitakazokuwa zikitumika picha na Mpiga picha wetu
Meneja wa huduma za Selcom,Bi,Everline Simpilu kushoto akimpatia lisiti kwa mteja wa mafuta wa kituo cha Oilcom Bw,Peter Ibrahimu wakati wa uzinduzi wa ununuaji wa mafuta kwa njia ya mtandao wengine wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Oilcom Bw,Mohamed Said Nahdi Ofisa wa Selcom Tumaini Mgori na Meneja husiano wa nje wa kampuni ya Vodacom Salumu Mwalimu huduma za kununua mafuta kwa njia ya mtandao zitakuwa zikitolewa na kampuni ya voda com kupitia Mpesa na mashine pekee za Selcom POS uzinduzi huo ulifanyika Dar es salaam jana.
Meneja wa huduma za Selcom,Bi,Everline Simpilu kushoto akimweleza mwendesha bajaji Bw,Peter Ibrahimu jinsi Selcom wanavyotoa huduma ya kununua mafuta kwa njia ya mtandao kwa kushirikiana na ,Vodacom Mpesa katika huduma ya lipa bidhaa pamoja na Oil Com
Meneja wa huduma za Selcom,Bi,Everline Simpilu kushoto Group IT meneja wa Oil Com, Abubakari Mwita,Mkurugenzi wa Oil Com Bw,Mohamed Said Nahdi, Meneja husiano wa nje wa kampuni ya Vodacom Salumu Mwalimu.Ofisa wa Selcom Tumaini Mgori wakipata maelezo jinsi mashine ya Selcom inavyofanya kazi ya kununua mafuta kwa njia ya mtandao wakiungana na Oilcom na Vodacom kupitia huduma ya lipa bidhaa wakati wa uzinduzi uliyofanyika Dar es salaam.
Ofisa wa Selcom Tumaini Mgori akiongea na wahandishi wa habari wakati wa huzinduzi wa huduma hiyo.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.